Sunday 28 August 2016

Kuwa wa kwanza kuvaa high heels za kiafrika

Kama wao wanaweza basi ata sisi twaweza.Haya yanathibitishwa kwa picha hizi apa chini...tuma neno moja la pongezi kwa ukurasa wetu wa facebook uitwao Tanzanianschools

Latest open shoes za kiasili za kiafrika

Kwenda na mitindo hakupotezi mila na desturi zetu bali kwa ziboresha kwa namna moja ama nyingine..vitu vya kisasa vyote vilitokana na vitu vya zamani,kwa kutambua ilo nawashukuru sana ndugu zangu wa kitanzania walioamua kuuleta usasa katika vitu vyetu vya zamani kama ivi,...

Pendeza kwa ubunifu wa kitanzania

Umuhimu wa kupendeza uko wazi kwa kila mtu,mara nyingi mavazi yamekuwa kama kipimo cha utanashati,basi ili kuongeza mvuto yafaa kuongezea vitu vya pekee vilivotengenezwa kwa ujuzi wa kimasai ili tu kuonesha utofauti kimitindo na utanashati..

Mikoba ya kiasili kwa wadada na akina mama

Tupende kujivunia cha kwetu,maana hata hivyo vya kigeni kwao wanaviita "vyakwetu"..mikoba hii inaweza tumiwa kwa shughuli mbalimbali za ubebaji wa mahitaji kwa mama zetu na dada zetu..pia kwa muundo wake imara tuna kila sababu ya kupenda chakwetu..

Saturday 27 August 2016

Latest men clothing swag

Style hii kwa sasa imejipatia umaarufu sana,na kiukweli haiitaji ujuzi wa pekee ili uweze kuendana na mtindo huu mpya,bali ni uwepo wa suruali isiyo pana pamoja na kiatu kizuri.
Tazama na jaribu kwa kupata muonekano mpya

Kiukweli ni zaidi ya ubunifu.

Viatu vya ofisini vya kiume

Sehemu muhimu kwa mwanaume ni pale panapomuingizia salary,heshima,utanashati na nidhamu ni kigezo kikubwa cha kufanya maisha ya mwanaume ofisini yawe pendwa si Kwake tu bali zaidi kwa wale anaowazunguka.Kwa Leo ni nafasi ya kuona viatu vya kuvaa na kukufanya uendane na muktadha huo.
 Hicho cha apo juu kitafaa zaidi kwa suti ya aina yoyote
Hiki pia chavaliwa na nguo ya aina yoyote lakini rangi ingekuwa nyeusi ingefaa zaidi 

Viatu vya watanashati

Kwa wale wapenzi wa viatu simple au maarufu kama vya kijanja basi bila shaka kampuni ya Nike ni chaguo la wengi,matoleo yao yenye umaarufu mkubwa ni jordan,air max,mercurial,super fly n.k..tazama baadhi ya matoleo yao hapa chini
Tazama pia hii 

Na ile red Jordan