Saturday 27 August 2016

Viatu vya ofisini vya kiume

Sehemu muhimu kwa mwanaume ni pale panapomuingizia salary,heshima,utanashati na nidhamu ni kigezo kikubwa cha kufanya maisha ya mwanaume ofisini yawe pendwa si Kwake tu bali zaidi kwa wale anaowazunguka.Kwa Leo ni nafasi ya kuona viatu vya kuvaa na kukufanya uendane na muktadha huo.
 Hicho cha apo juu kitafaa zaidi kwa suti ya aina yoyote
Hiki pia chavaliwa na nguo ya aina yoyote lakini rangi ingekuwa nyeusi ingefaa zaidi 

4 comments:

  1. Ni kizur bt natk nijue bei yake..na ningependezewa na cha rangi nyeus

    ReplyDelete
  2. Viatu ni vizul but naitaj loafers nyeusi na bei yake shingap

    ReplyDelete