Saturday 27 August 2016

Wanaume wakileo

Zamani ilionekana kama suruali ni ndefu lakini kwa sasa imekua fashion kubwa inayoendelea kupata umaarufu kila kukicha..jionee baadhi ya picha hapa chini
Hiyo ni Texas nchini marekani,fadhi ilo sasa laweza kuvaliwa na koti la suti kama ivi


Karibu tujuzane zaidi kuhusu mitindo.

No comments:

Post a Comment