Saturday 27 August 2016

Mavazi ni utambulisho wa utu wako

Ama hakika mavazi ya kitanzania yanya mvuto na kukidhi lengo kubwa la kuvaa ambalo ni kusitiri mwili.Yafuatayo ni baadhi ya mavazi ya kitanzania yanayokwenda na wakati.




Kama wasemavyo rangi nyeusi ni rangi ya ujasiri.Hongera kwao wabunifu wetu.


No comments:

Post a Comment