Kama wao wanaweza basi ata sisi twaweza.Haya yanathibitishwa kwa picha hizi apa chini...tuma neno moja la pongezi kwa ukurasa wetu wa facebook uitwao Tanzanianschools
Sunday, 28 August 2016
Latest open shoes za kiasili za kiafrika
Kwenda na mitindo hakupotezi mila na desturi zetu bali kwa ziboresha kwa namna moja ama nyingine..vitu vya kisasa vyote vilitokana na vitu vya zamani,kwa kutambua ilo nawashukuru sana ndugu zangu wa kitanzania walioamua kuuleta usasa katika vitu vyetu vya zamani kama ivi,...
Pendeza kwa ubunifu wa kitanzania
Umuhimu wa kupendeza uko wazi kwa kila mtu,mara nyingi mavazi yamekuwa kama kipimo cha utanashati,basi ili kuongeza mvuto yafaa kuongezea vitu vya pekee vilivotengenezwa kwa ujuzi wa kimasai ili tu kuonesha utofauti kimitindo na utanashati..
Mikoba ya kiasili kwa wadada na akina mama
Tupende kujivunia cha kwetu,maana hata hivyo vya kigeni kwao wanaviita "vyakwetu"..mikoba hii inaweza tumiwa kwa shughuli mbalimbali za ubebaji wa mahitaji kwa mama zetu na dada zetu..pia kwa muundo wake imara tuna kila sababu ya kupenda chakwetu..
Saturday, 27 August 2016
Viatu vya ofisini vya kiume
Hicho cha apo juu kitafaa zaidi kwa suti ya aina yoyote
Hiki pia chavaliwa na nguo ya aina yoyote lakini rangi ingekuwa nyeusi ingefaa zaidi